Friday, 24 November 2017

TUMEANZA KUANDIKISHA FORM ONE 2018

Assalam alaykum warahmatullah wabarakat
tunapenda kuwataarifu wananchi wote ya kuwa tumeanza kuandika wanafunzi wanaotaka kujuinga masomo ya elimu ya sekondari kuanzia form one mpaka formsix kwa mwaka 2018